Thursday, January 12, 2017

Vitu ambavyo hujasikia pale ces2017 ilipotokea

ces ni maonesho ya kiteknologia ambayo yanaoneshwa nchi za wenzetu huku maonesho makubwa ni nane nane Christopher ngure

vifaa vizuri zaidi 6 vilivyo oneshwa katika maonesho hayo


 1. Power ray drone
Drone imekua duniani tumeiona mahali kadhaa wa kadhalika zote ni za angani lakin hii "Powerray drone" ina uwezo wa kuchukua video za ukubwa wa 4k resolution chini ya maji. Na itakuwa ina uwezo wa wifi ambbayo itamsaidia mtumiaji wa kifaa hicho kuweza kuwasiliana nacho kirahisi.Bado bei haijatajwa lakin itakuwa maeneo ya $3,000 takribani (6,000,000/=tsh) kwa bei za kitanzania.
 1. LG TV WALLPAPER

       
  Maajabu hii ni wallpaper ya kueka ukutani lakin hapo hapo ni televisheni. Nyembamba,pana inajishika ukutani na sumaku ilionayo.Itakuja ya inchi 65 au inchi 77Bei bado haijatangazwa
 2. Moro Robot
               

  Hii robot itakua na uwezo wa kukumiminia vinywaji kama chai au maji au soda pia na uwezo wa kukunja nguo zako na uwezo wa kwenda sokoni.Itakua na uwezo wa kutambua sauti na sura za watu ili iweze jua nani anaetoa maelekezo.
  Itakua takribani dola 30,000 pale itakapo kuja
 3. Motivs smart ring
                                       

  Hii ni pete janja yani smart ring ambayo itakuwa inachukua rekord ya kazi zako kama mapigo ya moyo ume kimbia kilometa ngapi na kukupa matokeo kila unapoyaitaji kwenye simu yako.Pete hii itakua na gps yake ambayo itakua inarekodi urefu ulio tembea kwa siku nzima.bado hazija anza kuuzwa itakapo anza itakua...
  Dola 200
 4. Vuzix                          

  Vuzix ni miwani ambayo imekua na mafanikio baada ya Google glass kufa.Miwani itakuwa na uwezo wa kuwasiliana na simu yako ya mkononi ,jicho la kulia utaweza kusoma sms,kuangalia video.wakati jicho la kushoto utakua na uwezo wa kupiga picha kwa kamera ndogo iliopo kwenye jicho la kushoto.Itazinduliwa 2017 mwishoni. 
 5. Bei bado haijatajwa
 6. Sony projector
                                  
  Pojector ya sony ambayo ni dola 25000.Projector Hii itakua na uwezo wa kufanya ukuta wowote wa kwenu kuwa tv kwa uwezo wake wa kuonesha kwa inchi 100 ukutani ikiwa ime ekwa inchi 6 tu kutoka ukutani ambayo hamna projector ya kawaida inayo weza kufanya ivyo na kuonesha kwa 4K resolution bei yake itakua Dola 25,000
je umevutiwa na nini?

EQUATOR TUNAPENDA COMENT ZAKO COMENT HAPO CHINI