Friday, February 17, 2017

Nokia 3310 iyo imerudi!


Nokia 3310 yarudi kuwa kamata yani baumba to baumba
simu ya nokia 3310 ilizinduliwa rasmi mwaka 2000 miaka kumi na saba iliyopita na ilitambulika kwa ubora wake wa kutokupasuka kirahisi na betry kukaaa mda mrefu takribani siku saba sasa imerudi kwa style tofauti.
Simu hiii itarudi ikiwa na tabia ya smart phone  na pia itakua inagharama ya dola $62 ambayo ni takribani sawasawa na kusema 62*2100=130,00 laki na elfu thelathini kwa bei ya huku tanzania.
kusema kweli natamani hiii simu itoke maaana hata kama niwe nina simu gani lazma ntainunua kwa gharama yoyote.
Kwa sasa nokia wanajitaidi kwa kiwango kikubwa kurudi kwenye soko.
Hata juzjuz nokia walitangaza kuuuza simu laki moja katika ndani ya dakika moja.
Mpaka sasa aijayhibitika kama hii simu itakua na uwezo wa aina gani na gani lakini kabla ya mwezi huu wa pili kuisha lazima tutaiona nokia 3310 ikiwa hai nafrai sana kwa hizi kazi za nokia