Sunday, January 8, 2017

Mambo kumi na mbili usiojua kuhusu BILLGATES

Mambo 12 ya kumhusu BILL GATES

 1. Billgates jina lake kamili ni WILLIAM HENRY GATES
 2. Aliandika program yake ya kwanza kweny komputa za zamani game liitwalo tic-tac-toe shule iitwayo "lakeside prep school"
 3. Mara baada ya shule kugundua uwezo wa Billgates kutengeza program walimwomba andike program ya kupangilia ratiba ya shule hiyo. lakini Billgates akachakachua ratiba hiyo na kupanga vipindi ambapo atakaa mbali na wasichana
 4. Billgates ndo tajiri wa kwanza duniani mwenye pesa taslimu dola billioni 79
 5. Billgates yeye pamoja na mshirika mwenzake Paul allen ndio walio gundua kampuni ya Microsoft ambayo ndo kampuni maarufu na yenye mafanikio duniani inayohusiana na mambo ya computer ikiwemo na software yao ya "Microsoft windows
 6. Paul allen na Billgates walianzisha kampuni wakati bado wapo shuleni kampuni hiyo ilikua na jishughulisha na mambo ya kupigia bei ya parking kwa magari yanayo paki
 7. Billgates hakumaliza chuo bali alisitisha masomo yake mwaka 1975 ili ajiwekeze kwenye kampuni yake ya microsoft
 8. Billgates alipangilia kuwa tajiri alipokuwa na miaka 30 lakini alikua tajiri alipokuwa na miaka 31
 9. Billgates ni mwanadamu mwenye roho safi ambae pamoja na utajiri wake huwasaidia masikini na mradi alioanzisha yeye na mkeweMellinda gates
 10. Billgates pamoja na utajiri wake haamini kama ni vyema kuwapatia watoto wake (mabinti zake JENNIFER,PHOEBE na wa kiume roy) utajir yeye husema
  "kuwapa watoto hela nyingi ni kuwalemaza kisaikolojia maana hawatafanya kazi
  kwa hivyo basi kaamua kuwa achilia urithi wa milioni kumi dola amabazo ni takribani milioni mia mbili kitanzania kati ya billioni79 dola alizonazo
 11. Billgates anasema kwamba kama asingekua anafanya kazi
 12. Billgates hajui lugha nyingine tofauti zaidi ya english na ni kitu anasema anajutia