Thursday, January 5, 2017

je hali ngumu? fanya haya mambo 11 upate kazi na hela ndefu huko google?

unataka kupata google?? yenye mshahara wa $90,000 mpaka $120,000 basi fanya haya 11 yafuatayo
Kupata kaz Google imekuwa ni ndoto pia Google ndo sehemu ya kwanza kuwa na mazingira mazuri ya kazi duniani kulingana na wana tathmini
Pia mshahara ni mzuri
Kuna watu wanaolipwa kwanzia
$90,000 
1) kasomee computer science/It


Katika shirika hili somo hilo ndo uti wa mgongo.
unaweza jifunza mabo haya kupitia udacity.com, au thenewboston.com au nenda shule zenye somo hilo.
"Hatuchagui watu kwa Gpa" kulingana na Google

2) Jifunze ku unda application kwa kodi(code)


Application programing yan kutengeneza application kwanzia mwanzo mpaka mwisho na lugha malum kutengeneza kama
C,c++ c# na zingine nyingi.

3) Jenga mazoea ya kutengeza applications kwa vitendo


Kwa kuongeza mazoea unatakiwa kujua namna ya kujua matatizo ya aina nyingi ambayo inaeza tokea wakat wa kutengeza application yako.

4) Kasomee lugha zingine


Sio lugha kama ya kingereza au kihindi ama kichina bali ni
Lugha za kutengeneza application kama vile php,html,python ama zozote uzipendazo ambazo unajua zina umuhimu.

5) Zijue kwa kina operting system

Operating system ni kama vile
-windows 7,8,10.
-Linux/unix
-solaris
Na zingine jinsi zinavyo fanya kazi maaana ndicho utakacho fanya nayo kazi

6) Jua namna ya kufanya kazi na data kubwa

Google sio kampuni ya kitoto! Ina fanya kazi na taaarifa za mamilioni na milioni kwa hiyo inabidi ujifunze mbinu za kujua ni mbinu gan ya kushughulika nazo.

7) Mathematics uijue

Kaz za google ni za it na computer sciense na vitu hivi vimebobea na mahesabu kwayo maesabu yote ya kuhusu uyajue na uwe mzuri

8) Unda"COMPILER"

Compiler kaz yake ni kuchukua zile kodi zako ambazo umeandika kwa ajili ya kutengeza application na huzibadilisha kodi kuwa kawaida kama unavyotaka kwayo ukiweza kutengeza bas utajua namna ya kukodi kupita maelezo

9) Parallel programing

Ni uezo kuweza kufanya kazi na lugha mbili au zaidi kuzifanya zifanye kazi kwa pamoja!

                           10) ulinzi computer(cryptography)


Ili kuzuia udukuzi(haking) ina bidi ujifunze namna ya kujua na kupambana na udukuzi wa aina nyingi unaeza jifunza kutoka cybrary.com

11) Interview

Kazi ya google ina hela nzuri sana lakini wana maswali magumu sana na wanachukua watu wenye vipaji vya hali ha juuu kaaa chonjo nitapost baadhi ya maswal ambayo wanauliza google.

*je umependa makala haya like page yetu ya Equatortech katika facebook usipitwe na habari za ukwel
Equatortech.Blogspot.com
Coment hapo chin kwa account yako ya facebook je umeona nini?*