Wednesday, December 28, 2016

Blackberry imekufa lakin hizi hapa simu kali ambazo nokia wanaziachilia hivi punde na bei zake

Kampuni hizi za zamani ambazo ndo zilikua zamani vinara za simu kabla biashara za simu za smartphone zenye andriod azijaibuka simu hizi kwa pamoja ndo zilikua zinabamba kwa mambo yafuatayo

Nokia ilikuwa na sifa za uimara kwanzia zile nokia za zamani ambazo zilikua na uwezo wa kukaa na

 1.  Betry zaidi ya siku mpaka tano
 2. pia ugumu nokia ilisifika kwa ugumu wa kuvunjika kirahisi
 3. Nokia ikahamia kwenda kwenye simu zenye uwezo wa mziki kama nokia express music na saut zake zilikua na ubora mzuri kulingana na simu zingine
 4. Nokia ikawa ndo simu namba moja kwa ubora.

Blackbery imethibitisha kwa hiyo kampuni kuacha kutengeneza simu hii ni baada ya kupitwa kiushindani kwa kishindo kikubwa kama simu za IPHONE 7 na IPHONE 7 PLUS  kwa sababu hiyo kwamba kampuni hiyo imekufa ni kwamba zile simu zote zilizo tolewa bado zitaendelea kufanya kazi kama kama kawaida yake
                     

                           

Tetesi zinasema kwamba Nokia inatarajia kutoa simu tatu mwaka ujao 2017 kutoa simu tatu zenye andriod ndani yake na ya kwanza ni
                        NOKIA D1C                                Itakua na vitu vifuatavyo 

 1. Camera 16 megapixeli kwenye kamera za mbele ya na ya nyuma.
 2. Ram ya Gb3.
 3. Screen size ya inch 5.5.
 4. Cpu ya 1.4ghz..
 5. gpu ya Ardeno.
 6. Resultion 1080p.
 7. Simu hii ya d1c kuna uwezekano wa kutoka size mbili tofaut.
 8. BEI KULINGANA NA TETESI ITAKUA $200 AMBAYO NI SAWA NA 450,000 KWA BEI YA TANZANIA

                                              NOKIA P1


                         Itakua na vitu vifuatavyo 

 1. Kinga dhidi ya maji yani(water and dust resistance)
 2. kamera ya mbele megapixeli 8
 3. kamera ya  nyuma megapixel 22
 4. ram Gb3
 5. resolution 2k resolution
 6. cpu 2.3 Snapdragon
 7. operating system 7.0 nougat
 8. screen inchi  5.4112 


kumbuka taarifa hizi zinaletwa kwenu na equatortech blog inayokupa habari nzuri za kiteknologia kwa lugha ya kiswahili
like page yetu hapo chini kupata taarifa za lugha ya kiswahili viganjani mwako