Thursday, December 8, 2016

zawadi tano za kumnunulia umpendea christmass hii!!!

        zawadi tano za kumnunulia umpendea christmass hii!!! kutoka equator technologies

1Mifi 


        Mifi ni kifaa ambacho kitamwezesha mtumiaji atumie internet popote atakapotaka kwa kutumia teknologia ya wifi na ataweza kushare internet hiyo kwa vifaa kama laptop,tablet,computer & hata simu janja
(SMARTPHONE) kwanzia nane hata kuzidi na spidi ya 4g,3g au zaidi uzuri wa "mifi" ni kwamba watu wataweza kuchangia hela ya kifurushi na kutumia internet kwa wakat moja na kupata video,miziki,mitandao ya jamii na elimu kulingana na unavyopenda ndani ya tanzania kampuni za mitandao ndio wanaouza kama smart,voda,airtell, na kadhalika yote 9 ,10 kifaa hiki cha mifi uaneza ukakipata kwa mawakala wa smart kinachoitwa "MIFI 4G LTE" kifaa hicho kinauzwa 135,000/= utapewa internet ya bure mwezi mzima bila kikomo cha speed na ukubwa wa data mpaka GB599.

2VR(Virtual reality)

VR imekuwa ni teknologia ambayo imekuwa huko nchi za wenzetu lakini huku tanzania tunaiskilizia kwenye bomba  lakini maaduka ya mtandaoni ya tanzania yameanza kuziletea tanzania
kwa Kutumia vr utaeza kwenda TOUR wakati upo ndani ya nyumba yako vr ni kifaa amabcho kitakupa mwonekano au maono ambayo utasahau mazingira uliyokuwepo na kuhisi upo katika maeneo tofauti kabisa Vr inampa mtazamaji kufanya vifuatavyo
 1. kucheza gemu
 2. kutizama video katika uhalisia
 3. kutembelea maeneo tofauti bila kujali mahala alipo

 4. kununua vr unaweza kutembelea page ya samsung au kaymu kwa bei ya haki kabisa.

3 TELEVISHENI(kideo)

 Televishini ama kideo imekua ikibadlika lakin kwa watu ambao walinunua ambazo za zamani imekuwa ngumu kubadilisha ama wanaona haman amna ulazima wa kutoa tv za zamani na kuzieka mpya ambazo ni smart hi au flat screen 
vifuatvyo ni vitu unavoweza kuzingatia
 1. UZURI WA KUONESHA (PIXEL)

  Jinsi pixel zinavokua nzuri ndivyo ubora wa kuonesha unavyokua ngeshauri labda 1080 pixels
 2. UKUBWA WA KIDEO

  TV skwizi zina kuwa na utofauti wa screen kwanzia inch 21,inchi32,inch50, kumbuka ukubwa wa screeen haisaidii ubora wa pixels ni bora ukawa makini
   

4  Tablet  

Tablet ina matumizi mengi kama vile
 • ofisi
 • starehe(miziki,filamu,magemu)
 • mawasiliano
vitu vya kuzingatia wakati wa kuchagua tablet
 • ukubwa wa screen
  huenda kwa inchi kwanzia 5,6,7.
 • uwezo wa kuhifadhi
  huenda kwa kipimo cha GB kwanzia gb1,2,4,8,16,32,64 na kuendelea.

5 taja wewe

equatortech ingependa kusikia ushauri wako kuwa huru na ukoment kitu unachopenda