Sunday, November 6, 2016

Nokia inatoa smartphone yenye android ivi karibuni

Kampuni ya nokia ambayo inajulikana kuwa na uimara pia ni kampuni  inayoaminika kutengeza simu imara duniani imetokea fununu kwamba simu za andriod kutoka simu nokia zitazinduliwa 2017
Inasemekana kwamba simu hiyo itakua ma uimara na ugumu kama simu zingine na nokia
1 uimara wa betri kukaaa mda mrefu
2 kutokuvunjika kirahisi
3 Maji kutokuingia pia na vumbi
Wadau na wapenzi wa Nokia wamekaaa kwa uvimilivu sana wakisubiri Nokia ifanye hatua kama hiyo na Nokia wameahidi kwamba Zitazindiliwa ifikapo 2017
Habari hizi zinaletwa kwenu na
Equatortech.blogspot.com
"Habari za kiteknologia sio lazma uwe mwana it lakini kwa mtu yeyote