Friday, November 11, 2016

Gari la android

Kwa ukuaji wa magari na technologia ya simu   sasa  Gari lako linaeza  kuwasiliana na simu yako masharti yake ni kwamba

1 Lazma ue na simu ambayo ina android 6.0
2  gari liwe na uwezo wa kuwasiliana na simu yako

Teknolojia hii  itamruhusu mtumiaji ata kuwa na uwezo wa kufanya aya yafuatayo
1 kuangalia ramani kupitia simu yake na kwa kuongea tu.
2 kucheza miziki  kwa sauty pia kutakua na batan maalum itakayo wasiliana na simu ili kubadilisha mizki kirahisi
3 pia ita  msaidia dereva kupiga simu kwa sauty
Teknologia  hii ina tumika kwa watu wanaojua kingereza maana dereva atakua akiongea kingereza
Na pia atakua anaitaji internet ambayo ina kasi kumsaidia vitu vyote hivi
Kumbuka habar hizi zina letwa kwenu na
Equatortech.blogspot.com
Like page yetu "equator tech" usipitwe na uhondo