Thursday, November 17, 2016

React os ya facebook iko tayari

Kampuni ya Facebook imezindua operating system ya Ijulikanayo kama React os ambayo  ina fanana vile vile Microsoft windows7 ama kwa jina lingine windo7 na operating system hiyo bado ipo katika marekebisho na pia wewe unaeza itumia  kwenye computer  yako na hii hapa link unaeza download lakin sio nzima na bado haitegemeki na kwa ku set katika  computer lakin kwa kutumia cd tu kumanisha bado haijawa na ukali wowote
Kaaa chonjo punde itapotoka tutaieka hapa kwa ajili
Kumbuka taarifa hiz zinaletwa za teknologia na equatortech.blogspot.com
#taarifa za teknologia ni haki kwa kila mtu