Saturday, November 5, 2016

Facebook aquila mnara unaopaa na kutumia solar

Kampuni ya facebook inashughulikia mnara unaopaaa .... Ambao unjulikana kama aquila

Ambayo ni ndege ambayo itakua ikiwasilisha internet  kwa maeneo  ambayo hayana internet maeneo ambayo hayana  internet ili waskose internet

Ndege hiyo  ambayo inatumia nguvu ya sola  ili kuiezesha kupaaa na kuisaidia kusambaza internet  maeneo hayo kwayo watu wakae tayari kwa ajili  teknolojia hiyo.

Kumbuka habari hizi zinaletwa kwenu na
equatortech.blogspot.com
Blog inayokupa taaarifa za teknolojia kwa lugha ya kiswahili