Friday, September 23, 2016

Sema hallo kwa google allo


Kampuni ya google imeachlia rasmi application yao ya kutuma ujumbe na video kirahisi waweza download hapa
****jinsi ya kujiunga na allo mara ya kwanza
1) itakuomba kujaza nayopo namba zako za simu iliyoppo hewani kwa urahisi
TUMIA ILIYOPO KWENYE SIMU YAKO                        
2) Hatua ya pili ni kujaza jna unalopenda kutumia kwenye google allo4)Hatua ya 3  itakuomba kupiga selfie yako kwa ajili ya profile picture yako ya Allo au ukitaka waweza ruka na kuchagua picha unayotaka badae
au papo hapo ukachagua picha iliyomo ndani ya simu au tablet yako
      


4)kwanzia hapo ni kuchat kwa kutumia namba ulizonazo kwenye simu yako yani namba ulizonazo amabzo zimejiunga ndani ya allo ndizo tu unazo weza kutuma au kupokea ujumbe


5) Baada ya hapo utakua umeshajiunga na Allo share na marafiki link hii wapate muongozo wa namna ya kujiunga ili uchat nao kirahisi kwa kutumia link hii
je umefanikiwa kujiunga???
una swaili ama comment kuhusu kitu flani 
Tuma UJUMBE MFUPI kwenda
0753395920HABARI HIZI ZINALETWA NA EQUATORTECH.BLOGSPOT.COM
BLOG INAYOWAPA WATANZANIA HABARI ZA TECHNOLOJIA KWA LUGHA YA KISWAHILI