Wednesday, September 28, 2016

Kuna magari yanayojiendesha? Ndio. je na viti?
Kampuni ya NISSAN ambayo inayojulikana ku tengeneza aina mbali mbali za magari
imezindua kiti ambacho kitakua nauwezo kusogea kutoka mahali aua kwengine
maelengo makuu ya kiti hichi nikutumika
1Foleni
kiti hichi pamoja na vingine vitakua na uwezo wajushirikiana na vingine pia kusimamia
foleni pale mtu anaponyanyuka kitarudi mwanzo wa foleni kikiwa tayari kubeba na kumsafirisha abiria
anaye fata kwenye foleni ubaya wa kiti hichi ni kwamba pale utakapo simama atakama ulkua kat kat
aya foleni basi kitarudi mwanzo wa foleni hiyo hivyo mtu huyo hana budi kungoja folen itakapo malizika
pia kiti hichi waweza kitumia kwa ajli ya nyumbani au ofisini kwako
***** HABARI HIZI ZINALETWA KWENU NA EQUATOR TECHNOLOGY
           BLOG INAYOKUPA TAARIFA ZA KITEKNLOJIA KW
 LUGHA YA KISWAHILI******