Wednesday, September 21, 2016

Google kuzindua google allo

Google Allo application mpya ya kuchatia kutoka google


Kampuni kubwa google imetowa application mpya ya kuchatia itwayo google allo ambayo itakuwa bora
kuliko messenger ya facebook.
 Application hiyo itakua na uwezo wa kukusaidia kuchat kwa wepesi zaidi itakua na maneno  yaliyo andaliwa mtumiaj atafanya kubonyeza tu na kutuma neno kama yup na kadhalika


Kwa sasa kudownload haiwezekani bali waweza kujisajili na  punde inapotolewa utakua wa kwanza ku taaarifiwa

habari hizi zinaletwa kwenu na equatortech.blogspot.com blog inayokupa taarifa za kiteknologia  kwa lugha ya kiswahili!