Wednesday, September 21, 2016

movie ilipata namba kutoka kampuni ya oculus...

Movie ya kwanza ilyo tengenezwa kwajili ya VR

hii movie inaitwa henry ni hadithi fupy henry ambayo
imetengenezwa na kampuni itwayo oculus story telling 
movie hii hutoweza kuitazama kwenye tv au screen za kawaida kama ilivyozoeleka
bali utaitzaama kw akifaa kijulikanacho kama vr

Picha ya vr
vr ni kifaaa kinachofanya kazi kama screen ambayo itamfanya mtumiaji kujihisi na kujiona katika mazingira tofauty na alipo inatumia simu yako ya smartphone yako kama chombo cha kuonesha na kwajili ya sensing pale utapogeuza kichwa kushoto ama kulia.
kampuni hiyo in a lengo la kukuonesha movie kwa uhalisia bali kujiona pamoja na uyo mwigizaji kwa mazingara ya uhalisi.
Habari hizi zimeletwa na equator technologies  blog inayo kupa taaarifa za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili.
sambaza taaarifa hizi kwa ndugu jama na marafiki