Monday, September 5, 2016

iphone zijazo inauwezo wa kujilinda na wezi

watengeza simu za iphone kampuni ya apple inasemekana kwamba  iphone ijayo itakua na uwezo ufuatao kwajili ya kujilinda na wezi
itachukua alama ya vidole vya mwizi (fingerprint)
na pia itakupa picha ya mwizi wa simu itayo ibiwa pia
itakua inarekod saut na video pale simu inapoibiwa 
hii haijalish kama simu imewashwa au imezimwa kwa jaeaida kampuni hii imekua na mbinu nzuri za kupambana na wezi wa wateja wao..
kumbuka hapa ni equatortech.blogspot.com
blog inayo wapa tarifa za teknologia kwa lugha ya kiswahali
EQUATOR KWA AJILI ZA KISWAHILI