Tuesday, September 6, 2016

camera ya wi fi na haingii maji

campuni ya kutengeza camera imetoa camera itwayo db
ambayo ni ina uwezo wa kupiga picha hata chini ya maji pia ina uwezo wa kuhimili mihangaiko na pia ina ukubwa wa inchi mbili pia ina uwezo wa kupiga picha kwa 1080p
kwa kiasi cha dola 45 ambayo ni takribani  elfu 90
kumbuka hapa ni equatortech.blogspot.com
Habary za kiswahili kwa ajili yenu