Saturday, September 10, 2016

Pasi kuuzwa dola 1000 we ungenunua?

kampuni ya laurastar huko marekani imezindua pasi mpya smart pasi hii itakua na uwezo wa kukonect na simu yako kwa ajili ya kukupa taaarifa kwamba nguo unayonyoosha inaitaji moto kiasi gani pia itakuwa na uwezo wa kukutarifu muda ambao wewe unatumia kupasi nguo zako kwa pasi hii hutaeza kunguza nguo kirahisi
pasi hii inauzwa dola 10000
ambayo ni sawa na million mbil za kitanzania
kumbuka hapa ni equatortech.blogspot.com
tunakupa taaarifa kwa lugha ya kiswahili
kushare bure!!!!
swali ni kwamba kat ya hela 2,000,000 na pasi ungechagua nn?
coment hapo chini