kampuni ya kutengeza computer ACER imetowa computa kwa ajili ya magemu(gaming computer)
inayo itwa PREDATOR 21X
yenye vigezo vifuatavyo
screen inchi 21
screen yenye uwezo wa 1080pixles
uzito wa kilogram 8 au zaidi
screen iliyo nuusu mduara <CURVE>
ina cpu ya core i7
lakini computer hii bado haijafika dukani
itakuwa dukani kwanzia 2017 yani mwakani
kumbuka taarifa hizi zinapatikana ndani ya
equatortech.blogspot.com