hii ina wezekana kwa kutumia kifaaa kinacho itwa TRACKR ni kifaaa kidogo saiz ya mia tano ya silver
kwa hili waweza tafuta kitu unachokitaka tafuta kiwe ni simu gari ama mtu au mzigo labda chochote unachotaka unaweza kununua kupitia
1 hatua ya kwanza ni kukiagiza kupitia hapa juu
2 Kukieka unapotaka kama ni gari weka mahali ambapo ni ngum kupotea au kuonekana
3 download application hiyo playstore.
4 pindi unapotaka kujua gari/mali yako liko wapi kwa kutumia simu yako ni virahisi sana kupata
3 download application hiyo playstore.
4 pindi unapotaka kujua gari/mali yako liko wapi kwa kutumia simu yako ni virahisi sana kupata
kumbuka.....equator
tunawaeletea habari za kiteknologia
email:chrisngure2599@gmail.com