Friday, August 26, 2016

Pima uendeshaji wa gari lako


pima uendeshaji wako kwa kutumia simu yako ya mkononi

Je wajua  kwamba simu yako mkononi ina uwezo wa kupima uwezo wa kuendesha gari?
Au unaweza kutumia kupima kama dreva wa gari ulo panda ni mzuri anaendesha kwa namna gani pia kama na wewe ni driver unaeza shindana na madereva wenzako
ili kuweza kufanya ivyo ina bidi udownload program za kufanya kazi hizi
kama everdrive download program hizi ndani ya google play store