Thursday, September 1, 2016

mark zukerberg ndani ya kenya

mkurugenzi mkuu wa Facebook.com
kawasili kenya kwa ajili ya ziara yake pia Mark kakutana na mratibu mawasiliano wa kenya kwa ajil ya kuongelea mambo ya internet na watu wanavyo tumia ndani ya kenya
Kumbuka hapa ni equatortech.blogspot.com
tunawaletea habari za kitechnologia kwa ajil ya maendeleo ya kiteknologia
tuma maoni yako ktk
Email:chrisngure2599@gmail.com