Thursday, August 29, 2019

Umeiskia hiyo part1 Sasai app


#Umeisikia_hiyo ?
Kuna application mpya ya ki africa inayoitwa "Sasai" ambayo ina msemo/slogan isemayo "Pay,chat,Explore".
·         Pay ni utakuwa na uwezo wa kulipa bidhaaa popote.
·         Chat ndo watu watakapo kuwa wanachati mwanzo mwisho.
·         Lakini pia watu wa "diaspora" (Yani waliyopo nje ya nchi zao) wanaweza tuma pesa nyumbani au pia kutumiwa kama vile “western union” lakini gharama zitakua chini sana.
Hii ikiwa ni juhudi za kuicopy "Whatsapp" lakini inakua ya ki africa
Jaribu kuidownload hapa na kusema ulichopenda na ambacho we hukukipenda.
Unazani ataeza kuipika whatsapp? Au kuiteka Africa??? Natamani kusikia kutoka kwako!.