Kampuni ya facebook inashughulikia mnara unaopaaa .... Ambao unjulikana kama aquila
Ambayo ni ndege ambayo itakua ikiwasilisha internet kwa maeneo ambayo hayana internet maeneo ambayo hayana internet ili waskose internet
Ndege hiyo ambayo inatumia nguvu ya sola ili kuiezesha kupaaa na kuisaidia kusambaza internet maeneo hayo kwayo watu wakae tayari kwa ajili teknolojia hiyo.
Kumbuka habari hizi zinaletwa kwenu na
equatortech.blogspot.com
Blog inayokupa taaarifa za teknolojia kwa lugha ya kiswahili