Kampuni kubwa google imetowa application mpya ya kuchatia itwayo google allo ambayo itakuwa bora
kuliko messenger ya facebook.
Application hiyo itakua na uwezo wa kukusaidia kuchat kwa wepesi zaidi itakua na maneno yaliyo andaliwa mtumiaj atafanya kubonyeza tu na kutuma neno kama yup na kadhalika
Kwa sasa kudownload haiwezekani bali waweza kujisajili na punde inapotolewa utakua wa kwanza ku taaarifiwa
habari hizi zinaletwa kwenu na equatortech.blogspot.com blog inayokupa taarifa za kiteknologia kwa lugha ya kiswahili!