Wednesday, September 14, 2016

usafiri kutoka uber unaotesa ma driver

kampuni ya taxi ijulikanayo kama uber imeanzisha magari ya kujiendesha (autopilot) ambayo inasemekana kuwa ni magari yenye usalama na bei rahisi lakin kitendo hicho kimewaharibia maisha ma dereva wengi ambao walitegemea kazi hiyo na pia hii inaharibu hatima ya makampuni mengi kwenye biashara hiyo kama shule za udereva kwa sasa makampuni yananza kuji ingiza ndani ya biashara ya magari yanayojiendesha mfano kama Volvo Na Uber
kumbuka hapa ni
equatortech.blogspot.com
ambapo tuna wapa habari za kiteknologia
unaruhusiwa kushare!