Friday, August 12, 2016


 HABARI KARIBU EQUATOR WEBSITES
 je wajua kuna smart fridge?
ina vitu vifuatavyo
inauwezo wa kuingia kwenye intanet
ina uwezo wa kwandika notes
kupiga mziki fride kama hizi huuzwa
kwanzia dola 5400 za kimarekani ambazo ni sawa na million 9 za kitanzania.
Kujua zaidi tazma video na usisahau kushare apa ndo equatortech
tunapotoa taaarifa za kiteknologia